Rais Dkt. Samia afanya Mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Malawi
Tarehe 7 Julai 2023, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifanya Mazungumzo Rasmi na Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, Rais wa Jamhuri ya Malawi katika Ikulu ya Kamuzu, Lilongwe. Wakuu… Read More